Hakuna fluoride ndio maana hakuna maelekezo ya kutema baada ya kusafisha kama zilivyo zingine.
Dawa za kawaida baada ya kutumia unaambiwa uteme usimeze na kama ni mtoto mdogo msimamie kwa sababu fluoride ni carcinogenic ( unaweza kusababisha saratani) pia inasababisha madhara kama ifuatavyo:
Huharibu kuta za Tumbo na kuleta vidonda vya tumbo
Huharibu seli za ubongo hasa kwa watoto na kupunguza uwezo wao wa akili.
Faida nyingine za forever toothgel bright
1. Ina antibacterial kutoka kwenye asali kwa ajili ya kukinga na mashambulizi ya bacteria. Unaweza ukajiuliza kuna watu ambao ni waaminifu wanasafisha vinywa vyao kila siku kwa dawa lakini bado wanaugua meno.. Ni kwa sababu dawa wanazotumia hazina kemikali inayoweza kupambana na bacteria waharibifu wa meno.
Baada ya ugunduzi kuwa nyuki wanauwezo wa kutengeneza kemikali hii nzuri kwa binadamu ndio maana ikaongezwa kwenye dawa hii kwa afya bora. Hii ni sababu huwezi kukuta asali imeoza kwa sababu nyuki hujitengenezea kemikali ya kujilinda dhidi ya bacteria.
2. Ina harufu na radha nzuri itakayofanya kujisikia vizuri na harufu nzuri kinywani siku nzima.
3. Unaweza kutumia kwa matumizi mengi kama kutuliza tumbo lililojaa gesi badala ya kutumia magnesium pia kuua fangasi wa miguuni.
4. Inafaa sana kwa walevi na wavutaji kupambana na harufu mbaya mdomoni.

Inapatikana nchi nzima.
Wasiliana sasa kuipata kwa ajili yako
0767759137





