Tuesday, 9 May 2017

Hatua 3 za kuposti wimbo kwenye blog yako.


1. Ingia my.notjustok.com tengeneza akaunti halafu log in kwa Facebook.

2. Ukishaingia, juu kulia kuna sehemu ya *upload* click hapo kuchagua wimbo wa kuupload kutoka kwenye PC au simu yako.

3. *Choose file to upload*, clik *upload image-choose file* kuweka picha ya msanii, then clic *More options*, ili kujaza *jinala msanii na wimbo (artist-track title) na description, yaani maelezo kidogo juu ya huo wimbo halafu weka tag kama #music n.k halafu tia tick pale kwa *Download* ili watu waweze kudownload. Ukimaliza save.

NB; Wimbo unawekwa kwny post kwa html ambazo tutazipata kwenye wimbo tulioupload kwny my.notjustok.com

KUPATA html CODE ZA WIMBO_
Ukisha save itakwandikia, *Track successfull added,* then click *Go to your Tracks* utaona ule wimbo au nyimbo ulizo-upload,
>>> Kwny huo wimbo utaona sehem imeandkwa *Share*, ipo katikati ya *Add to playlist* na *Download*, click hapo halafu copy ile *Embed Code* bila kuacha chochote then tunaenda kuipost sasa>>>>
Nenda kwenye blog yako create new post weka title kama kawaida, then click *HTML* button upande wa kushoto, halafu paste ile *code* chini kabisa, halafu publish.

Hapo itakuwa tayari.


1 comment:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Forever toothgel bright

Ni dawa ya meno isiyo na fluoride. Hakuna fluoride ndio maana hakuna maelekezo ya kutema baada ya kusafisha kama zilivyo zingine. Dawa...